mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,186
Tupo kwenye sensa kujua wimbo gani wa King unaokubalika zaidi.
Tafadhali husika na Kichwa cha habari hapo juu hatutaki maneno maneno wala hatutaki malumbano na team ujanja ujanja kwenye Uzi huu.
Kama humkubali hayo ni mapenzi yako binafsi na kama Huna wimbo unaoukubali kutoka kwake hayo ni mapenzi yako binafsi pia.
Mwenyewe Ali akiojiwa na Salama kwenye Ngazi kwa ngazi alisema wimbo anaokubali zaidi kuwa aliandika vizuri ni Dushelele na wimbo anaokubali zaidi kuwa alifanya maajabu yake kwenye Kuimba ni My everything.
Kwangu mimi wimbo ninaokubali zaidi Kutoka kwake ni Nichum.
Wewe je, wimbo gani mzuri zaidi Kutoka kwa King Kiba kwa mtazamo wako?