Wimbo gani wa King Ali Kiba unaoukubali zaidi?

Wimbo gani wa King Ali Kiba unaoukubali zaidi?

Mkuu hiyo kikomo si ndio ile Ali ana-rap huku dully akipiga chorus?

Ni nyimbo za mwanzo mwanzo kabisa za Ali.Nadhani ule wimbo uliitwa "Kuteseka nimechoka"
Ok ni huo huo..kuteseka mimi nimechoka..kikomo nimefika...pesa zangu umeshapata..na mwanzo we ndo ulonifata...
 
Punguza nyegeshobo, we taja wimbo unaoupenda usepe
We nawe thread sio yako povu linakutoka. Kwani we hujaona hapo nilipotaja nyimbo.

Kiba ana sura nzuri Sana .
Kuna kosa gani kusema hivyo?
 
Back
Top Bottom