Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Karimu
Kwangu mimi, huu ndio wimbo bora wa wakati wote wa Ali Kiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karimu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]"Kama mapenzi ghorofa yamejaa kariakoo"
"Nina mapenzi tele kama kwetu kule"
Mistari haina vina ila ina maneno ya kueleweka sio kulazimisha vina mpaka unatukana.
Samahani Shemeji.
Hakika ktk Karim na Mac Mugga Ali Kiba aliimba bwana.Kwangu mimi, huu ndio wimbo bora wa wakati wote wa Ali Kiba.
Hakika ktk Karim na Mac Mugga Ali Kiba aliimba bwana.
Asiyemkubali huyu mtu hajui muziki ni nini.
Alikiba - karimTupo kwenye sensa kujua wimbo gani wa King unaokubalika zaidi.
Tafadhali husika na Kichwa cha habari hapo juu hatutaki maneno maneno wala hatutaki malumbano na team ujanja ujanja kwenye Uzi huu.
Kama humkubali hayo ni mapenzi yako binafsi na kama Huna wimbo unaoukubali kutoka kwake hayo ni mapenzi yako binafsi pia.
Mwenyewe Ali akiojiwa na Salama kwenye Ngazi kwa ngazi alisema wimbo anaokubali zaidi kuwa aliandika vizuri ni Dushelele na wimbo anaokubali zaidi kuwa alifanya maajabu yake kwenye Kuimba ni My everything.
Kwangu mimi wimbo ninaokubali zaidi Kutoka kwake ni Nichum.
Wewe je wimbo gani mzuri zaidi Kutoka kwa King Kiba kwa mtazamo wako?!