vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,624
Nyingine Single Boy ft Jay Dee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna hata moja inayonivutia! Kiba zaman bhana sio kiba wa sasa hv! Kiba ninayemjua mm kiba wa Maki muga , nichum nk
nakshi nakshi mrembo
"Kama mapenzi ghorofa yamejaa kariakoo"Nyimbo zangu mbili Bora za Muda wote kutoka kwa Kiba;
2. Hadithi - Kiba ft. Mr. Mim
1. Cheketua
Huu wimbo unanikosha sana mistari yake mle ndani, hasa verse ya pili ile..
[emoji444] ..penzi alinipa mama, nami leo nakupatia, tena sitaki lawama, penzi kiapo hakuna... Mi ntakupenda sana mpaka wivu wote utakimbia.. Nami ntalia na wewe, mimi kwako nyang'a nyang'a nyang'a..[emoji445]
Cc Nifah [emoji4] [emoji4]
Awwwwwwww hapo kwa hadithi wajua ninavyoupenda,ndio wimbo wangu bora wa miaka yote wa Ali Kiba.Nyimbo zangu mbili Bora za Muda wote kutoka kwa Kiba;
2. Hadithi - Kiba ft. Mr. Mim
1. Cheketua
Huu wimbo unanikosha sana mistari yake mle ndani, hasa verse ya pili ile..
[emoji444] ..penzi alinipa mama, nami leo nakupatia, tena sitaki lawama, penzi kiapo hakuna... Mi ntakupenda sana mpaka wivu wote utakimbia.. Nami ntalia na wewe, mimi kwako nyang'a nyang'a nyang'a..[emoji445]
Cc Nifah [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wallah mzaramo basi tu [emoji119]Inategemea upo mkoa gani ila uku tulipo huyu ndio King.