Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ni bora kabisa asingeenda huko rehab amekuwa kama kichaa,wizi uchafu kama hauamini ulizia maskani za kinondoni ndipo anaposhindaMkuu ni juzi kati tu ametoka rehab....usiniambie kama karudi tena kwenye ngada?!
Kweli kabisa lkn nashangaa watu wanaipotezeaAiseee first time namskia Ali akiimba huu wimbo ilikuwa wakati ule wa Coke Studio.
Moyoni nikasema huyu ndio Ali tunaemjua.Bonge moja ya ngoma.
Aya ndio matatizo ya kufungia ajira, JPM vijana wako wanaeuka huku Tafadhali Fanya namnaCCM Mbele kwa Mbele.
Mkuu naona tupo tofauti kidogo.Macmuga,, na mwana,, 'mwana''naupenda Sana,kuanzia tungo na video,,!chekecha una mashairi matamu Sana, japo video haikuwa kali kivile!!!,
Kiba kaimba hits nyingi sana nikiambiwa niandike top 5 basi itakuwa hivi...
1. Kikomo feat Dully Sykes
2. My everything
3. Mapenzi yanarun dunia
4. Mwana
5. Dushelele