Wimbo gani wa King Ali Kiba unaoukubali zaidi?

Wimbo gani wa King Ali Kiba unaoukubali zaidi?

Majibu ya waswahili yakupasa uwe makini!! Nimetafakari jibu lako hata silielewi, umesema "hakuna hata moja.....!". Mwishoni unasema McMuga na Nichumu.....!!! Teh teh teh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahaaa chenga huyo dish limeyumba
 
Aisee zote nzuri , i can't choose ,king nyimbo zake hazichoshi kusikiliza hasa macmuga.. Tungo zake zimetulia hana matusi
 
Sabrina
na hii ni top 10 yangu kwa King Kiba
1. Sabrina
2. Cinderella
3. Karim
4. Hadithi
5. Run Dunia
6. Macmuga
7. My Everthing
8. Dushelele
9. Aje
10. Single Boy
katika hizi ngoma Kiba alifanya
 
Napenda ngoma zake tatu tu...
1.my everthing
2.dushelele
3.mapenz yana run dunia
 
Back
Top Bottom