Mbuguni TPC
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 535
- 405
Shazam app
Umesaidia sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shazam app
We jamaa sijui hata nikushurukuru kwa namna gani! Baada ya miaka takribani mitatu hatimae umefanikiwa kuweka huu wimbo. Special thanks kwako mkuu. Ubarikiwe sana, kama unaweza kukumbuka kuna kipindi kilikuwa kinarushwa na redio ya KKKT hapo dar sikumbuki vizuri jina sijui ni upendo FM.Huu hapa:
UBARIKIWE ZAIDI. HAPO kabla, huu wimbo haukuwepo YouTube, NADHANI umewekwa hivi KARIBUNI tu. Niliikumbuka hii post leo nikaona ombi lako nikakumbuka. Nilipojaribu kuu-search nikaupata. UBARIKIWE TENAWe jamaa sijui hata nikushurukuru kwa namna gani! Baada ya miaka takribani mitatu hatimae umefanikiwa kuweka huu wimbo. Special thanks kwako mkuu. Ubarikiwe sana, kama unaweza kukumbuka kuna kipindi kilikuwa kinarushwa na redio ya KKKT hapo dar sikumbuki vizuri jina sijui ni upendo FM.
Kwenye redio hii kila jumamosi kulikua na mafundisho ya Mwl Mwakasege, hii ilikuwa 2006. Huu wimbo uliopost ndio ulikuwa unapigwa kuashiria mwanzo wa kipindi. Aisee nilikuwa naupenda mno yote tisa kumi ni mafundisho ya Mwakasege itoshe kusema nilibarikiwa na huu wimbo plus mafundisho.
Tubarikiwe sote, ni kweli huu wimbo haukuepo maana nilishajaribu kuutafuta sikufanikiwa. Nilihisi labda nakosea jina la wimbo ndio maana siupati, nilipoona umeuweka nilifarijika sana. Tuko pamoja sana mkuu [emoji120]UBARIKIWE ZAIDI. HAPO kabla, huu wimbo haukuwepo YouTube, NADHANI umewekwa hivi KARIBUNI tu. Niliikumbuka hii post leo nikaona ombi lako nikakumbuka. Nilipojaribu kuu-search nikaupata. UBARIKIWE TENA