Wimbo huu wa kumuenzi Magufuli unapaswa kupewa TUZO

Wimbo huu wa kumuenzi Magufuli unapaswa kupewa TUZO

Joined
Dec 15, 2022
Posts
18
Reaction score
128
Katika kuadhimisha miaka miwili ya kifo chake vijana wapo wanaokumbuka mazuri yake lakini pia wapo wanaokumbuka mabaya yake, nyimbo hii ni moja ya nyimbo inayokumbusha mmoja wa upande wake.Chukua mda wako kutazama.

KIAZI MVIRINGO wewe mleta UZI, REGACY regacy ya mavi au, mnaacha kuwaza mambo ya maana mnaendeleza usukuma gang wenu nyambaf
 
Katika kuadhimisha miaka miwili ya kifo chake vijana Wapo wanaokumbuka Mazuri yake lakini pia wapo wanaokumbuka Mabaya yake,NYIMBO hii ni moja ya nyimbo inayokumbusha mmoja wa upande wake.Chukua mda wako kutazama.

Nyimbo hii ✖️
Wimbo huu ✔️
Nyimbo hizi ✔️
 
Nyimbo hii ✖️
Wimbo huu ✔️
Nyimbo hizi ✔️
Wasanii wengi tena watanzania wanasema "Nyimbo hii".... Sijui ni usanii au kutokukijua kiswahili fasaha.
Moderators, badilisheni kichwa cha habari hii... Mbona ni aibu? 😳
 
Back
Top Bottom