mtetezi wa MAGU
Member
- Dec 15, 2022
- 18
- 128
Haujanivutia.Chukua mda wako kutazama.
Katika kuadhimisha miaka miwili ya kifo chake vijana Wapo wanaokumbuka Mazuri yake lakini pia wapo wanaokumbuka Mabaya yake,NYIMBO hii ni moja ya nyimbo inayokumbusha mmoja wa upande wake.Chukua mda wako kutazama.
Nyimbo hii ✖️Katika kuadhimisha miaka miwili ya kifo chake vijana Wapo wanaokumbuka Mazuri yake lakini pia wapo wanaokumbuka Mabaya yake,NYIMBO hii ni moja ya nyimbo inayokumbusha mmoja wa upande wake.Chukua mda wako kutazama.
Wasanii wengi tena watanzania wanasema "Nyimbo hii".... Sijui ni usanii au kutokukijua kiswahili fasaha.Nyimbo hii ✖️
Wimbo huu ✔️
Nyimbo hizi ✔️