Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,305
MATY mama naomba nkubaliane na wewe yote bt apana kuna wanaume wazuri wewe acha yan ni moja kwa moja yan atok wala hana kaz za nje ni hawa wadudu watu ndo wanajifnya kutoa excuze kwamba ni necha ..necha necha gan?ahh apo ni temba tu akuna necha wala nini....ahh u ni ushetan tu kuna wengi tu waaminifu mama yangu mpk waona raha yan dahh acha tuNi kweli usemayo rose wanawake wengi situation zinatubana, ukiangalia watoto halafu huna uwezo wa kuwalea peke yako ndio nguvu zinakuisha kabisa. Lakini kama mtu una uwezo unaweza ukaachia ngazi yakizidi, ila kuna mengine inabidi uvumilie tu kwani ukweli ni kwamba wenzetu wameumbwa hawawezi kuwa na mwanamke mmoja hilo wanawake inabidi tukubaliane nalo (mtanisamehe) ila na nyinyi kina baba hata kama ndio nature yenu msizidishe
usikubali kuingzwa kwenye mkumbo uo wa kutoka nje NI NECHA KWA WANAUME...kwa justfctn ip?ahh apana.
mbona we utok?assume aujaolewa bado na hauna mtoto wala nin lakn jamaa anapga nje daily apo napo inakaanje?kwan wewe HAUJAWAI KUMPENDA AU KUMTAMAN KIJANA MWNGNE UKO NJE?mbona haukumkubalia?y?Y yeye ashndwe kujimudu na game lilivyo ni mademu wangekuwa wanaongoza kwa kaz za nje cz wao ndo wanatongozwa na vishawish viiiiiiiiiiiiing wanapata iweje ajimudu kusema noooooo na wewe njemba daily mitaani kutafuta c.h.u.p mpya?kwa gharama zote na muda wote?
ushedwani tu..ahh yan nimekasirika maty ngoja tu nkanywe chai ebu njooo uku tule mwaya