Wimbo huu............!!

Wimbo huu............!!

Afu Askofu akiamka umuulize kama huu wimbo una hadhi ya kuimbwa kanisani....i. OK?

:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:

Is it only a monday??:argue:

:welcome:

Mkoloni anataka kuingia chamani kwahiyo alikuwa anaaangalia procedures ila mkoloni yule kiboko kweli FEA WEI weekend hii lazima nifuate BATA na KANGA.

:confused2::confused2::confused2:

Angalizo: BATA na KANGA sio tusi:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

Umeulizwa??..:mmph:

Askofu bado amelala

😛ray:😛ray:😛ray::typing::typing::typing::typing::ranger::ranger::ranger:

aah wapi, niulize mimi mkuu... kuna mbu balaa

Inampasa mtu mmoja afe kwa ajili ya watu.....anyways damu yako i juu ya mikono yetu...hadi wajukuu,,,,,lakini kwa kuwekwa kwako keko sisi TUMEPONA>.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1:

:fish2::fish2::fish2:
 
hebu kaifufue ile sredi yetu tujinoe tena na ushairi!
Tatizo uchakachuaji babu , watu wanachakachua usipime unawezajikuta hata bailoji yako imechachuliwa na kuwekewa ya mwingine- mi ctaki kabisa babu.
 
:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:

:welcome:

Umeulizwa??..:mmph:

😛ray:😛ray:😛ray::typing::typing::typing::typing::ranger::ranger::ranger:

:fish2::fish2::fish2:

Habari yako hivi umelala kwenye kigango au gesti mbona umechoka kiasi hicho
 
Tatizo uchakachuaji babu , watu wanachakachua usipime unawezajikuta hata bailoji yako imechachuliwa na kuwekewa ya mwingine- mi ctaki kabisa babu.

Bora umestuka mapema! Manake waweza kuta umechakachuliwa ukapewa ya kichina. We wabaki washangaa kidume kikipita kusalimu baioloji, hakirudi tena kuijulia hali.
 
Tatizo uchakachuaji babu , watu wanachakachua usipime unawezajikuta hata bailoji yako imechachuliwa na kuwekewa ya mwingine- mi ctaki kabisa babu.

Hivi biolojia yako mtu ukiifanyia copyright wataichakachua?
 
Ni kweli usemayo rose wanawake wengi situation zinatubana, ukiangalia watoto halafu huna uwezo wa kuwalea peke yako ndio nguvu zinakuisha kabisa. Lakini kama mtu una uwezo unaweza ukaachia ngazi yakizidi, ila kuna mengine inabidi uvumilie tu kwani ukweli ni kwamba wenzetu wameumbwa hawawezi kuwa na mwanamke mmoja hilo wanawake inabidi tukubaliane nalo (mtanisamehe) ila na nyinyi kina baba hata kama ndio nature yenu msizidishe

Maty kama kweli wewe ni mwanamke na una msimamo huu, hongera sana kwa kuwa muelewa wa hili!!! lakini nahisi wewe ni mwanaume umeandika hivi!
 
Bora umestuka mapema! Manake waweza kuta umechakachuliwa ukapewa ya kichina. We wabaki washangaa kidume kikipita kusalimu baioloji, hakirudi tena kuijulia hali.
Sasa je!! Babu wachina wabaya bwana yaani wameharibu ladha nzima

We huoni hata ladha ya valuu siku hizi siyo kabisa... iko kama spirit vile
 
Habari yako hivi umelala kwenye kigango au gesti mbona umechoka kiasi hicho

Naanza kufunga rasmi kwa ajili ya kukuombea wewe Ze Finest, Mungu akusaidie... una matatizo makubwa sana... Shetani anakuchakachua...

Kama unamaanisha kuvua samaki basi we subiri ban....

...:ban:....Pole Samaki...:fish:....:banplease:

Hivi yule mkoloni alikuwa anafanya feasibility study jana pale FEA WEI

...:gossip:.... (kiherehere)
 
Naanza kufunga rasmi kwa ajili ya kukuombea wewe Ze Finest, Mungu akusaidie... una matatizo makubwa sana... Shetani anakuchakachua...

...:ban:....Pole Samaki...:fish:....:banplease:

...:gossip:.... (kiherehere)

Nataka tuombe na tufunge pamoja unajua kugawana hata kupeana ni kujali
 
MATY mama naomba nkubaliane na wewe yote bt apana kuna wanaume wazuri wewe acha yan ni moja kwa moja yan atok wala hana kaz za nje ni hawa wadudu watu ndo wanajifnya kutoa excuze kwamba ni necha ..necha necha gan?ahh apo ni temba tu akuna necha wala nini....ahh u ni ushetan tu kuna wengi tu waaminifu mama yangu mpk waona raha yan dahh acha tu
usikubali kuingzwa kwenye mkumbo uo wa kutoka nje NI NECHA KWA WANAUME...kwa justfctn ip?ahh apana.
mbona we utok?assume aujaolewa bado na hauna mtoto wala nin lakn jamaa anapga nje daily apo napo inakaanje?kwan wewe HAUJAWAI KUMPENDA AU KUMTAMAN KIJANA MWNGNE UKO NJE?mbona haukumkubalia?y?Y yeye ashndwe kujimudu na game lilivyo ni mademu wangekuwa wanaongoza kwa kaz za nje cz wao ndo wanatongozwa na vishawish viiiiiiiiiiiiing wanapata iweje ajimudu kusema noooooo na wewe njemba daily mitaani kutafuta c.h.u.p mpya?kwa gharama zote na muda wote?
ushedwani tu..ahh yan nimekasirika maty ngoja tu nkanywe chai ebu njooo uku tule mwaya

Pole mpenzi uckasirike hii ndio hali halisi. Unajua hapa JF watu wako huru kuzungumza lolote kwani hatujuani kwa hiyo kila mtu anakuwa huru kuzungumza lililo moyoni mwake na wanaume wa humu JF ni watu na adabu zao tu mtaani pamoja na makazini mengi wanayoyazungumza humu kamwe hawawezi kuyazungumza mbele za watu ingawa yana ukweli ndani yake kwani unaweza shambuliwa na watu. Na nimejitahidi kufuatilia sana mazungumzo ya humu khs mahusiano nimegundua mwanaume kuwa na mwanamke mmoja ni kazi na hata kama wapo ni wachache sana wengi wana zaidi ya mmoja. Na ni kweli sisi wanawake pia tunapata vishawishi vingi tu uko nje ila kutokana na maumbile tunaweza kuvumilia lakini hawa wenzetu ni nadra sana kuvishinda vishawishi siwatetei ila hii ni hali halisi wanaume waaminifu ni 20 kwa mmoja
 
Ni kweli haivumiliki kaka but wapo pia kina mama wanaoshukudia matrimonial beds zao zikitumika kama uwanja wa rough je nao washindwe kuvumilia? Ninawaza tu kaka si kwamba ninataka kubishana !
unajua nadhani uwezo wa kusamehe wa mwanamke ni mkubwa kuliko mwanaume na pia wanawake wameumbwa na roho ya uvumilivu kuliko wanaume ndio maana wanaweza kubeba mimba mpaka kuzaa na kumlea mtoto kwa moyo wa upendo na kujinyima chochote ili mtoto akue ile ni roho ya kipekee sana
 
Maty kama kweli wewe ni mwanamke na una msimamo huu, hongera sana kwa kuwa muelewa wa hili!!! lakini nahisi wewe ni mwanaume umeandika hivi!

Mimi ni mwanamke mwaya nimejaribu kufanya uchunguzi humu humu JF na asilimia kubwa ya wanaume wanatetea hilo la kutokuwa na mwanamke mmoja na hawa wanaume wa humu JF ndio waume zetu, kaka zetu ambao tuko nao huko majumbani sasa uthibitisho gani tena nitafute?. Mimi wangu atoke tu atajijua mradi atimize mahitaji yote muhimu awe na wanawake kumi yeye tu mimi natulia zangu kwani hata wanachokitafuta huko nje saa nyingine hawakipati so najua mwisho wa siku anaweza kutulia akishamaliza mizunguko yake mi namuombea tu awe salama.
 
Back
Top Bottom