GY
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,279
- 126
Hivi Askofu guest huwa anaenda kufanya nini hebu nisaidie kuniulizia ukimuona
Sikuja kwa ajili ya walio wema.....bali kwa wenye dhambi.....bwana anena!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Askofu guest huwa anaenda kufanya nini hebu nisaidie kuniulizia ukimuona
Leo kuna mtu hajaniamkia humu ndani. Akija tafadhali mwambieni Babu amekasirika sana. Anaenda kumwadhibu bibi badala yake:grouphug::grouphug::grouphug:
Babu usijali yuko kwangu amekuja kunitembelea
That's an ACT CALLING....You have been warned!
That's an ACT CALLING....You have been warned!
Babu....................................Shikamoo.Leo kuna mtu hajaniamkia humu ndani. Akija tafadhali mwambieni Babu amekasirika sana. Anaenda kumwadhibu bibi badala yake:grouphug::grouphug::grouphug:
Hahahah........thats WARN CALLING........You have been notified!
Hahahah........thats WARN CALLING........You have been notified!
Babu....................................Shikamoo.
Babu....................................Shikamoo.
Marahabaaa kajukuu....Sasa waweza kumruhusu babuyo aondoke kwa amani?:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
Sitaki Usawa Kaka Jambazi ningependa kuelewa tu kwa sababu gani sie tuweze kuvumilia wakati kina kaka hawawezi, na mbaya zaidi hata jamii inawaruhusu kutokuweza kuvumilia!!!
Kwa nini asivumilie tabia za mpenzi wake badala ya kujiweka pembeni??
Hapa Umenena kaka yangu yaani ndio maana ninasema mahusiano................. yaacheni tu yaitwege mahusiano!!...yataka moyo kustahmili wasaidizi.
Wanaostahmili wengi wao hawana jinsi labda 'sababu ya kuzidiwa kipato' na katika na hayo,
otherwise mnh
...acha tu.
Babu na vitukuu vyako The Finest, Generation Y na nani sijui mnachakachua........... Mod Hapendi
Babu na vitukuu vyako The Finest, Generation Y na nani sijui mnachakachua........... Mod Hapendi
Jamani mjukuu...one lough a day keeps stress away!