Wimbo mpya kuhusu kutekwa kwa Roma

Wimbo mpya kuhusu kutekwa kwa Roma

Hatimae mjadala wa vyeti closed.. Kama utani vile... Gwajima kwisha habari yake...sjui Mange.
 
17814672_1058608254283609_5342952003704167193_o.jpg
 
Haha nipo mkuu sema vijana wamelegeza napenda ngumu saana. Raia wamelegeza hakuna cha kujadili.

Kwema lakini.
Ukaamua kukimbilia kule siyo?.

Nipo na mtoto wa miaka mitano hapa na kaniuliza hivi "Hivi kati ya Ulimi na Meno,nani mpangaji ndani ya Mdomo?.Nadhani majibu unayo.Naomba jibu haraka.

Nipo njema Mkuu.Jukwaa lenu linasemaje?.
 
Kwema kamanda kabla sijajibu naskia kuna kipande cha track ya ROMA niwekee kama unacho nikiskie ebu
 
Back
Top Bottom