Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima Mkuu Daby .Hip hop....
Uhai wa MTU kwanza.Hatimae mjadala wa vyeti closed.. Kama utani vile... Gwajima kwisha habari yake...sjui Mange.
Ukaamua kukimbilia kule siyo?.Haha nipo mkuu sema vijana wamelegeza napenda ngumu saana. Raia wamelegeza hakuna cha kujadili.
Kwema lakini.
Kwema kamanda kabla sijajibu naskia kuna kipande cha track ya ROMA niwekee kama unacho nikiskie ebuUkaamua kukimbilia kule siyo?.
Nipo na mtoto wa miaka mitano hapa na kaniuliza hivi "Hivi kati ya Ulimi na Meno,nani mpangaji ndani ya Mdomo?.Nadhani majibu unayo.Naomba jibu haraka.
Nipo njema Mkuu.Jukwaa lenu linasemaje?.
Ahsante sana Mkuu!Uhai wa MTU kwanza.
Angalia kwa mtoa mada.Ka-attach na thread yake Mkuu.Kwema kamanda kabla sijajibu naskia kuna kipande cha track ya ROMA niwekee kama unacho nikiskie ebu
Sioni naona track ya huyu chalii aliyemwimbia roma tuAngalia kwa mtoa mada.Ka-attach na thread yake Mkuu.
Msanii mchanga atoa wimbo wenye maudhui kama nyimbo nyingi za roma...
Maoni yangu wasanii waungane watoe nyimbo kwa pamoja bila kuigopa sekretari
Nilikuelewa vibaya Mkuu! Kumradhi.Sioni naona track ya huyu chalii aliyemwimbia roma tu
Kuna mtu kaniambia kuna kipande kabla ya kukamatwa tongwe walikuwa wanakirekod ssa najaribu kukitafuta sikipatiiiNilikuelewa vibaya Mkuu! Kumradhi.
Hicho kipande unachokiulizia siifahamu Mkuu.
Unaweza udownload mkuuJamani nitaupataje huu wimbo
Msanii mchanga atoa wimbo wenye maudhui kama nyimbo nyingi za roma...
Maoni yangu wasanii waungane watoe nyimbo kwa pamoja bila kuigopa sekretari
Ndio tena sana etiiWe mwenyewe unaiogopa serikali uniita sekretari