Wimbo mpya wa Ali Kiba 'Hela'

Wimbo mpya wa Ali Kiba 'Hela'

Habarini zenu.

Msanii Alikiba anatarajia kudondosha nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la HELA itakayo anguka muda wowote kuanzia sasa

Huko mitandao ya kijamii imefulika na kuwa na shauku kubwa juu ya ujio wa ngoma hiyo baada ya kimya cha muda mrefu tangu alipo achia ngoma yake ya mwisho inayokwenda kwa jina la seduce me hapo October mwaka Jana.

King is back
Wimbo wa kufanyia show za fiesta
 
Waliozoea kusikiliza nyimbo za mapenzi kwa King kiba mtapata tabu sana

Nyimbo ya Hela ipo YouTube kwenye account ya alikiba go and listen the beautiful song

King music mpya inakuja .........tuachekukalili kila mtu ana flavour yake kwenye uimbaji.

Hongera kingkiba kwakuimba at least vitu vinavyoeleweka
 
Waliozoea kusikiliza nyimbo za mapenzi kwa King kiba mtapata tabu sana

Nyimbo ya Hela ipo YouTube kwenye account ya alikiba go and listen the beautiful song

King music mpya inakuja .........tuachekukalili kila mtu ana flavour yake kwenye uimbaji.

Hongera kingkiba kwakuimba at least vitu vinavyoeleweka
Siku nyingine utulize akili kwanza kabla hujaweka thread ona sasa ulivyoandika ujinga
 
Kuna Watu wanautani na mziki kuna watu hawapo Serious Na Mziki

Yote Hayo Alikiba Anaongoza Huu wimbo Wiki 1 hatuusikii Tena Sio wimbo wa kushindanishwa kwenye charts
 
Nimepitia Comments kama 100 Za mwanzo kwenye huo wimbo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ni aibu sijaona comment ya kumsifia hata moja zaidi ya mapovu tu. Hahah
 
nikiingia youtube naandika nini ili kuutazama huo wimbo ?
 
Nyimbo zilizobeba ujumbe mkubwa na uhalisia wa maisha yetu kwa kifupi si tuu zilikuwa nyimbo bora .
Napelekwa mbali kifikra baada ya kusikiliza nyimbo za mwanamuziki huyu ambaye si tuu anajua kuimba bali anajua nini cha kuimba, wakati gani na kwa watu gani.
Wahenga walisema tends mema nenda zako king kiba endelea hivyo hivyo.
 

Attachments

  • AliKiba-Hela.jpg
    AliKiba-Hela.jpg
    87.1 KB · Views: 98
Back
Top Bottom