Wimbo mpya wa Ali Kiba 'Hela'

Wimbo mpya wa Ali Kiba 'Hela'

Baadhi ya comment
IMG_20181003_113732_375.jpg
View attachment 885552
 
Nyimbo zilizobeba ujumbe mkubwa na uhalisia wa maisha yetu kwa kifupi si tuu zilikuwa nyimbo bora .
Napelekwa mbali kifikra baada ya kusikiliza nyimbo za mwanamuziki huyu ambaye si tuu anajua kuimba bali anajua nini cha kuimba, wakati gani na kwa watu gani.
Wahenga walisema tends mema nenda zako king kiba endelea hivyo hivyo.
Bro mbona unatumia nguvu nyingi kulazimisha wimbo uonekane mzuri?😂
 
Wimbo umepotea katika mazingila yasio eleweka kabsa
 
Nasikia wimbo umetekwa na wasio julikana
 
Back
Top Bottom