Wimbo mpya wa Ali Kiba 'Hela'

Wimbo wa kufanyia show za fiesta
 
Waliozoea kusikiliza nyimbo za mapenzi kwa King kiba mtapata tabu sana

Nyimbo ya Hela ipo YouTube kwenye account ya alikiba go and listen the beautiful song

King music mpya inakuja .........tuachekukalili kila mtu ana flavour yake kwenye uimbaji.

Hongera kingkiba kwakuimba at least vitu vinavyoeleweka
 
Siku nyingine utulize akili kwanza kabla hujaweka thread ona sasa ulivyoandika ujinga
 
Kuna Watu wanautani na mziki kuna watu hawapo Serious Na Mziki

Yote Hayo Alikiba Anaongoza Huu wimbo Wiki 1 hatuusikii Tena Sio wimbo wa kushindanishwa kwenye charts
 
Nimepitia Comments kama 100 Za mwanzo kwenye huo wimbo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ni aibu sijaona comment ya kumsifia hata moja zaidi ya mapovu tu. Hahah
 
nikiingia youtube naandika nini ili kuutazama huo wimbo ?
 
Nyimbo zilizobeba ujumbe mkubwa na uhalisia wa maisha yetu kwa kifupi si tuu zilikuwa nyimbo bora .
Napelekwa mbali kifikra baada ya kusikiliza nyimbo za mwanamuziki huyu ambaye si tuu anajua kuimba bali anajua nini cha kuimba, wakati gani na kwa watu gani.
Wahenga walisema tends mema nenda zako king kiba endelea hivyo hivyo.
 

Attachments

  • AliKiba-Hela.jpg
    87.1 KB · Views: 98
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…