Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
"aah yani mjukuu wangu am ovess kabisa"πππ yule bibi enzi zake nadhan alikua na mikato yakina gigy money au shishi babyπππhiyo ngoma no ovess kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kinauzwa Instagramaisee hivi hicho kinywaji chake cha mofaya kinauzwa dar peke yake
Utakuwa mgeni hapa duniani mbona wengi wamefanya hivyo!anataka acheze mpira na aimbe dah bongo kuna vituko hivi nani aliwahi fanya vitu kama hivi dunian
wimbo mzuriHapa nakubali ngoma kali video kali,kabadilika ngoma inaitwa kadogo...
Hawa jamaa waachane na muziki,wabaki kuwa wamiliki wa wasanii tu.Kiba kabugi tena, inaumiza sana
Kalale cheap dudeulitaka akusifie ww au mke? au dadako?
unavotetea point njoo na vivid exampleUtakuwa mgeni hapa duniani mbona wengi wamefanya hivyo!
na mwenzio kule juu aliesema bure anacheza mpiraSasa kumbe ni biashara,kwa hiyo ulikuwa unashangaa nini mtu kufanya biashara mbili mziki na mpira