DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Imeingiaje huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh kweli kipendacho roho ula nyama mbichi , nyimbo ya ovyoo kabisa hiiHii ni funga mwaka!
Mambo yote ni kadogo sasa hivi...
Ila Kiba anajua jamani! Humo ndani ya Kadogo kacheza na sauti hadi nimeshangaa!
Club banger ya kibabe
Tunao sikiliza Hip hop Only tuna comment wapi.??
Me naona hapa kamuimbia mond tu kisa Natasha kadogodogo ndio maana na anatokea Kenya utasha gaa Mond anaanza kuuimbaAisee huyu jamaa anajielewa...anajuaa...hachujii...hachoshiii sema tu anaboa kutubania Ngoma kaliii kama hizii...kadogooo...[emoji435][emoji435][emoji818][emoji818]
Alikiba - Kadogo (Official Music Video)
Nani alikuteka we mtu jamani ukatuacha kwenye mataa na ile storyUshaanza uchokozi
Naona haujaisikia bolingo hapoHii ngoma ni fire aiseee huyu jamaa ana muziki wa peke yake yaani muziki wake una radha za kitanzania tu hana tabia ya kuchukua sample za kenya wala Uganda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ruksaaaaaaaa....Video yote kapigilia nguo aina mbili tu... Video haivutii kutazama angalau audio,
povu ruksa
Huyu ndo alikuwa kiba sasaKiba namkubali, katika ngoma zake zote ukiacha mwana darisalama kuna ile:
"Nilimwambia asile, ye alikula akavimba akajaa, mtoto mzuri aliezaa na yule jamaa mwenye mahela akaniacha na njaa kwenye mataa...." Aisee ile hua inanikosha sana
Hapa nakubali ngoma kali video kali,kabadilika ngoma inaitwa kadogo...