Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Kadogooo,kanapenda keroro ×2
Ila huyu jamaa kwenye interview hovyo sana.
Ila huyu jamaa kwenye interview hovyo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapoteza hela zako bure....subiri tu audio...
Hakuna kipya
Sijasema ni mbaya.. Nmesema hamna jipya.Wewe Ngoma kali ilee...Darasa ndo hakuna kituuu
Kadogooo,kanapenda keroro ×2
Ila huyu jamaa kwenye interview hovyo sana.
Wewe Ngoma kali ilee...Darasa ndo hakuna kituuu
Hamna kitu pale... Hovyo kabisa
Ye Babaaaaa [emoji4][emoji4][emoji4]
Bora hata hiyo mvumo wa radi...Kwahiyo unataka kusema bora Mvumo wa radi?
Hakuna wimbo hapo,Yani anamsifia mke wake mwanzo mwishoHii ngoma ni fire aiseee huyu jamaa ana muziki wa peke yake yaani muziki wake una radha za kitanzania tu hana tabia ya kuchukua sample za kenya wala Uganda
Mmmmm amewapa shingapi?Aisee huyu jamaa anajielewa...anajuaa...hachujii...hachoshiii sema tu anaboa kutubania Ngoma kaliii kama hizii...kadogooo...[emoji435][emoji435][emoji818][emoji818]
Alikiba - Kadogo (Official Music Video)
ulitaka akusifie ww au mke? au dadako?Hakuna wimbo hapo,Yani anamsifia mke wake mwanzo mwisho