rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]Ausioo..huyo ndo kingVery very Very overrated artist
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]Ausioo..huyo ndo kingVery very Very overrated artist
Ulitak kusifiwa wewe sheikh na tak.o lako ama? [emoji2]Hakuna wimbo hapo,Yani anamsifia mke wake mwanzo mwisho
MmmhHii ni funga mwaka!
Mambo yote ni kadogo sasa hivi...
Ila Kiba anajua jamani! Humo ndani ya Kadogo kacheza na sauti hadi nimeshangaa!
Club banger ya kibabe
Ni vinyawaji vya kuuzia sura kwny video tuaisee hivi hicho kinywaji chake cha mofaya kinauzwa dar peke yake
Kinauzwa Dar sehemu gani?aisee hivi hicho kinywaji chake cha mofaya kinauzwa dar peke yake
huyu msela kiukweli anawakatisha tamaa mashabiki wake hiv anashindwa nini kumpatia million 10 Barnabas amtungie wimboKinauzwa Dar sehemu gani?
na kumbe kule Costa unioni halipwi hata 100Wamefikia mpaka stage hii asee..View attachment 968389
Wenye team yenu mkuje hukuu muongelee kadogo
King on his chairNyimbo ya kufungia mwaka ya Ali kiba
Hawa watu bwanana kumbe kule Costa unioni halipwi hata 100
Kuna issue gani humo ya kikubwa humo? Kuna sehemu anatafunwa au anatafuna??[emoji49][emoji49]Nyimbo ya kufungia mwaka ya Ali kiba