Toka 2014 mnasema hivyo hivyo..Alikiba Asipo Baridika tutampoteza mapema kwenye Mziki
Hapo sasa. Sijui wanataka abadilike aimbe matusi kama wale jamaa wa upande wa piliToka 2014 mnasema hivyo hivyo..
mwenzenu anasonga mbele!!
Binadamu ndivyo walivyo... Hata Diamond kuna kipindi alipigwa vita sana humu, kuna jamaa alikuwa analeta thread zake humu alipata tabu sana [emoji3][emoji3]...Hapo sasa. Sijui wanataka abadilike aimbe matusi kama wale jamaa wa upande wa pili
Jamaa anajua sanaYAANI HII NGOMA YA KING KIBA NIMEIELEWA KINOMA NOMA NIMEIPENDA KWELI KIBA NI NOMA
Mkuu nakuomba inbobo tafadhali .... Nina jambo makini nahitaji kukuulizaWenye team yenu mkuje hukuu muongelee kadogo
wa man utd vepe?Duaniani mashabiki wa ukweli ni wa Arsenal na Alikiba! Maana wana moyo sana
Kwa waumini wa kiislamu, siku ya alhamis na ijumaa ni siku njema sanaMsanii anayejitabainisha kama King wa Muziki Tanzania, Ali Kiba ametambulisha ngoma yake mpya rasmi leo akiwa kwenye kituo cha Redio kinachopenda kumbeba kwa gharama yoyote 'Clouds FM'.
Ngoma hiyo inakwenda kwa jina la 'KADOGO' na inatarajiwa kupakiwa kwenye mtandao wa YouTube leo ALHAMISI kama masharti ya mtaalam yanavyomtaka.
Kwa wale msiojua ni kwamba Ali Kiba ana masharti ya kuweka nyimbo zake Youtube siku za ALHAMISI tu na yeye amewahi kukiri baada ya kupakia wimbo wa ''HELA'' na kushambuliwa na mashabiki zake kutoa ngoma ya hovyo.
Katika utetezi wake alisema alikosea masharti labda ndio maana alishambuliwa sana, na baadaye aliipakia upya ngoma hiyo siku ya ALHAMISI na kelele hazikusikika sana.
Kila La kheri King Kiba. Yooooo... Pop it up ''Papiri papiri'
Kwani alikiba kacheza mechi ngapi hadi sasa?.hata alikiba mpira anacheza for funny tyu.pole sanaa
asamoh ni footballer kaangalie hata wikipedia wasifu wake kuimba anafanya kama funny tyu kama ivo mbna ramos nae anavinyimbo ila anajulikana kama footballer nyimbo sio biashara
Kaswida au Zikri?Mimi binafsi namshauri arudi kuimba kaswida bongofleva imeshamte
Y'oooooh?!Me katika wimbo mzima napenda kile kipande cha “ye Baba “ ila the rest hakuna mzuka
NonsenseHii nyimbo niliisikilizaga juu juu tu nikawa sijaielewa ..... Lakini Leo nakiri kwamba ni bonge la ngoma bonge la Afro pop... Chorus imekaa kijanja sana ..kisasa na kileo .. Ajitahidi tu kwenye kui- promoted
Alhamisi Ni siku ya Freemason Kama hamjuiKwa waumini wa kiislamu, siku ya alhamis na ijumaa ni siku njema sana