Wimbo mpya wa Ali Kiba 'KADOGO': Toa Maoni na ushauri wako hapa

Wimbo mpya wa Ali Kiba 'KADOGO': Toa Maoni na ushauri wako hapa

Kwakweli ni taka taka tupu huo sio wimbo.
 
Hapo sasa. Sijui wanataka abadilike aimbe matusi kama wale jamaa wa upande wa pili
Binadamu ndivyo walivyo... Hata Diamond kuna kipindi alipigwa vita sana humu, kuna jamaa alikuwa analeta thread zake humu alipata tabu sana [emoji3][emoji3]...
 
YAANI HII NGOMA YA KING KIBA NIMEIELEWA KINOMA NOMA NIMEIPENDA KWELI KIBA NI NOMA
 
Me katika wimbo mzima napenda kile kipande cha “ye Baba “ ila the rest hakuna mzuka
 
Msanii anayejitabainisha kama King wa Muziki Tanzania, Ali Kiba ametambulisha ngoma yake mpya rasmi leo akiwa kwenye kituo cha Redio kinachopenda kumbeba kwa gharama yoyote 'Clouds FM'.

Ngoma hiyo inakwenda kwa jina la 'KADOGO' na inatarajiwa kupakiwa kwenye mtandao wa YouTube leo ALHAMISI kama masharti ya mtaalam yanavyomtaka.

Kwa wale msiojua ni kwamba Ali Kiba ana masharti ya kuweka nyimbo zake Youtube siku za ALHAMISI tu na yeye amewahi kukiri baada ya kupakia wimbo wa ''HELA'' na kushambuliwa na mashabiki zake kutoa ngoma ya hovyo.

Katika utetezi wake alisema alikosea masharti labda ndio maana alishambuliwa sana, na baadaye aliipakia upya ngoma hiyo siku ya ALHAMISI na kelele hazikusikika sana.

Kila La kheri King Kiba. Yooooo... Pop it up ''Papiri papiri'


Kwa waumini wa kiislamu, siku ya alhamis na ijumaa ni siku njema sana
 
Hii nyimbo niliisikilizaga juu juu tu nikawa sijaielewa ..... Lakini Leo nakiri kwamba ni bonge la ngoma bonge la Afro pop... Chorus imekaa kijanja sana ..kisasa na kileo .. Ajitahidi tu kwenye kui- promoted
 
a

asamoh ni footballer kaangalie hata wikipedia wasifu wake kuimba anafanya kama funny tyu kama ivo mbna ramos nae anavinyimbo ila anajulikana kama footballer nyimbo sio biashara
Kwani alikiba kacheza mechi ngapi hadi sasa?.hata alikiba mpira anacheza for funny tyu.pole sana
 
Back
Top Bottom