mkuu huu ndo unazi husiokuwa na maana..kwani kumpenda mtu mmoja ni lazima umchukia mwingine??..unaposema alikiba HAJUWI unamaana gani?...mziki wa bongo fleva umeanza kuusikiliza lini?Inaonekana huo upuuzi alitunga kipindi anastress za mikopo ya saccoss
Kama ameishiwa mjaribu kumwambia hata anicheki private message naweza nikamconnect na Mbabe wao Chibu dangote Aende akarekodi Studio za wassafi recods bure maana wasanii chipukizi ni bure ila yeye tutamuwekea exception kwakuwa show hakuna
Ila kiufupi WIMBO MBOVU SIKUTEGEMEA NILICHOKIKUTA JAPOKUWA HAJUWI LAKINI THIS IS TOO MUCH
Mmefuta comment yangu,
Naandika tena, wanaume wamenyooka, inameni mshughulishwe!
Wakuu wimbo huu ambao upo in form of demo, umeendelea kupata downloaders wengi kwenye web na blogs mbalimbali East Africa, na blogs mbalimbali za Nigeria. Wimbo huu unakwenda kwa jina la "School baby" japokuwa hakuwa umekamilika hata balance ya sauti na beat kuwa haijakamilika lakin umegeuka kuwa hit song.
Hongera kingkiba.
http://www.jimmcarter.com/2015/07/usikilize-huu-wimbo-wa-alikiba.html