Wimbo mpya wa Allykiba uliovuja, wageuka kuwa hit song

Wimbo mpya wa Allykiba uliovuja, wageuka kuwa hit song

Inaonekana huo upuuzi alitunga kipindi anastress za mikopo ya saccoss

Kama ameishiwa mjaribu kumwambia hata anicheki private message naweza nikamconnect na Mbabe wao Chibu dangote Aende akarekodi Studio za wassafi recods bure maana wasanii chipukizi ni bure ila yeye tutamuwekea exception kwakuwa show hakuna

Ila kiufupi WIMBO MBOVU SIKUTEGEMEA NILICHOKIKUTA JAPOKUWA HAJUWI LAKINI THIS IS TOO MUCH
mkuu huu ndo unazi husiokuwa na maana..kwani kumpenda mtu mmoja ni lazima umchukia mwingine??..unaposema alikiba HAJUWI unamaana gani?...mziki wa bongo fleva umeanza kuusikiliza lini?
 
Mmefuta comment yangu,
Naandika tena, wanaume wamenyooka, inameni mshughulishwe!
 
Mmefuta comment yangu,
Naandika tena, wanaume wamenyooka, inameni mshughulishwe!

Hahahaaaaa mbona hawakufuta zile za minyoosho? Ndio wameshanyooka sasa ngoja wapewe haki zao walizokuwa wakizililia.
 
Back
Top Bottom