youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
Wazo lako zuri ila ili liwe Namashiko,bora uliwekee thread yake,mana pande hizi kila mtu KibaNavy kenzo ft V money GAME ....now hii ndio hit single ya kuijadili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo lako zuri ila ili liwe Namashiko,bora uliwekee thread yake,mana pande hizi kila mtu KibaNavy kenzo ft V money GAME ....now hii ndio hit single ya kuijadili
Saizi mnaishi kwa kiki
Kiba Noma
Wimbo Umevuja. Watu Wake Wa karibu sio wazuriKma yye Noma mbna ameshindwa kujiamn mbka kutumia kiki ya nyimbo kuvuja
Hiyo ishakua expired bwana, habari ya mujini ni collabo ya King Kiba & Davido
Wimbo Umevuja. Watu Wake Wa karibu sio wazuri
Haha haha watu wake wa krbu wakti yye mwenye ndio mvujishaji
We c ndo ulikuwa unaponda na kukandia kuhusu diamond kufanya collabo na davido n wasanii wa nigeria kwa ujumla!leo davido ndo kawa tunu kwako?
Watu kama nyie kama ndo masuala ya kidini basi ni miongoni mwa wale watu watakaowekwa chini kabisa ya moto wa jahannam yaani munaafiquun...ila Mungu akunusuru na moto wa jahannam kwa kila hali!
Umeona eeh? Wataelewa tu...Wewe Ni Mkaanga Sumu Na kruu Yenu Wote.
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=TutaheshimianaTu]#TutaheshimianaTu u[/URL]
Navy kenzo ft V money GAME ....now hii ndio hit single ya kuijadili
Kweli mkuu kuna ngoma za kujadili lkn c huu upuuzi. Game noma kuna Upatoranking flan Nahreel kanipigia mule hatari
hapa MWANA.kule CHEKETUA CHEKECHA uku SCHOOL BABY.wapi davidooooooo
Nashukuru kwa kuliona hilo mkuu (Sapoti yangu kwa King Kiba).Kiba mwenyewe ananijua mie nifah na ananikubali sana tu... teh teh teh
Kuhusu kuniangusha hapo umekosea sana, unaweza kuniambia ni wimbo gani mbovu alioutoa King Kiba?
Tokea nimeanza kuwa mfuasi wa kimuziki wa Kiba yapata miaka 10 sasa hajawahi kuniangusha hata wakati mmoja.
Ndio maana namkubali namna hii.
Mmh mbona wimbo mbaya sn umezidiwa hata n nyimbo ya baba levo sherere dah bado sn