Wimbo mpya wa Allykiba uliovuja, wageuka kuwa hit song

Wimbo mpya wa Allykiba uliovuja, wageuka kuwa hit song

Hiyo ishakua expired bwana, habari ya mujini ni collabo ya King Kiba & Davido

We c ndo ulikuwa unaponda na kukandia kuhusu diamond kufanya collabo na davido n wasanii wa nigeria kwa ujumla!leo davido ndo kawa tunu kwako?

Watu kama nyie kama ndo masuala ya kidini basi ni miongoni mwa wale watu watakaowekwa chini kabisa ya moto wa jahannam yaani munaafiquun...ila Mungu akunusuru na moto wa jahannam kwa kila hali!
 
Allahuma Amiin! Mashkur wa mashkuran...
Nawe pia maana hakuna ajuaye yaliyokua sirini ila Allah peke yake...nasema haya nikimaanisha hakuna anayepaswa kuhukumu kama wewe ulivyonihukumu ila yeye Allah S.W pekee.
 
Dah boonge la pumb■ level za msaga sumu hizi ampe feature hapa atatoboa uswazi kinglocal
 
Nashukuru kwa kuliona hilo mkuu (Sapoti yangu kwa King Kiba).Kiba mwenyewe ananijua mie nifah na ananikubali sana tu... teh teh teh

Kuhusu kuniangusha hapo umekosea sana, unaweza kuniambia ni wimbo gani mbovu alioutoa King Kiba?
Tokea nimeanza kuwa mfuasi wa kimuziki wa Kiba yapata miaka 10 sasa hajawahi kuniangusha hata wakati mmoja.
Ndio maana namkubali namna hii.

Kiba aliporudi alitoa nyimbo mbili mwana n kimasomaso vp kimasomaso niliuckia cku moja tu what happened kwa iyo nyimbo
 
Last edited by a moderator:
wimbo umevuja,maadui wanasema ni mbaya ila wanang'ang'ania thread japo na wao waonekane
 
Mmh mbona wimbo mbaya sn umezidiwa hata n nyimbo ya baba levo sherere dah bado sn
 
Mmh mbona wimbo mbaya sn umezidiwa hata n nyimbo ya baba levo sherere dah bado sn

Hahahaha punguza povu mkuu yani demo tu imewatoa jasho, je collabo la Davido sijui mtafanyaje
 
Back
Top Bottom