Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

Wimbo mpya wa darassa 'Hasara Roho'

  • Ni mzuri Sana

    Votes: 15 40.5%
  • Ni mzuri kiasi

    Votes: 5 13.5%
  • Wa kawaida tu

    Votes: 13 35.1%
  • Ni mbaya

    Votes: 4 10.8%

  • Total voters
    37
Weka ngoma yako tuone mkikoswa hoja mnabaki kujikanyaga tu



Swissme
Mkuu kwa majibu haya umedhihilisha usivojua muziki.kuwa shabiki haimaanishi huwezi kujua kibaya na kizuri na ndio maana tunawadiss akina Mess ,Ronaldo n.k ilihali sisi sio wachezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…