juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Mkuu kwa majibu haya umedhihilisha usivojua muziki.kuwa shabiki haimaanishi huwezi kujua kibaya na kizuri na ndio maana tunawadiss akina Mess ,Ronaldo n.k ilihali sisi sio wachezaji.Weka ngoma yako tuone mkikoswa hoja mnabaki kujikanyaga tu
Swissme