Sasa kulikuwa na haja gani ya kuchomekea king'eng'e cha kikolomije?...It's not easy to release four hit songs in a row, that Ninja made it feasible, its about time before this new joint turn to a national anthem as usual, I thought MUZIKI is some kind of one hit wonder, I was wrong as the dude had a lot in store, I never saw this coming, his song which leaked prio to HASARA ROHO could have been the hit song as well, pitiful the leaked song wasn't done to the fullest .........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]Sasa kulikuwa na haja gani ya kuchomekea king'eng'e cha kikolomije?
yaniii..Anakosea sana..ametoka kutoa nyimbo iliyosikilizwa sana mpaka ikawa kama wimbo wa taifa..then anakuja kutoa nyingine halafu ana rap vilevile tena na beat kama ile ile na chorus anapiga mwenyewe anakosea kutofanya featuring ambayo ingesaidia ku kupunguza kasi ya kuchokwa..kwa mfano test ya nyimbo zake...kwa mfano kwenye chorus angemyweka qchief na verse ya kwanza angemuweka jmo au hata mitego..ingeleta radha tofauti sana na angeonekana amekuja kivingine
Tehehe! Kolomije,jiji la wajanja = Gwaj,Mak,nadhani hata cool James alitokea hapo.Sasa kulikuwa na haja gani ya kuchomekea king'eng'e cha kikolomije?
Mbwembwe nyingi kumbe alibahatisha tuDarasa ametoa ngoma mpya ambayo kwa kweli imedhihirisha kuwa msanii huyu hana kipaji cha kutunga mashairi mazuri. Si hivyo tu ngoma hii imetoa picha kuwa msanii huyu siyo mbunifu kwani ngoma hiyo inaelekea kufanana na ngoma ya muziki
Hawa wasanii Wa kibongo bwana!!!!!
Wengine ni walinzi tuko kazini hapa01:24, huna usingizi? Huna kazi ya kufanya?
Hujajibu uliloulizwa, ulilojibu hujaulizwa.HAO WATU WENGI WENYE KUTAMBUA KUWA MAVI CHAKULA KITAMU NAWE PIA NI MIONGONI MWAO.....Asante kwa kuwa alwatan mwenye mawazo ya mchovu wa fikra...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa kulikuwa na haja gani ya kuchomekea king'eng'e cha kikolomije?