Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

Wimbo mpya wa darassa 'Hasara Roho'

  • Ni mzuri Sana

    Votes: 15 40.5%
  • Ni mzuri kiasi

    Votes: 5 13.5%
  • Wa kawaida tu

    Votes: 13 35.1%
  • Ni mbaya

    Votes: 4 10.8%

  • Total voters
    37
...It's not easy to release four hit songs in a row, that Ninja made it feasible, its about time before this new joint turn to a national anthem as usual, I thought MUZIKI is some kind of one hit wonder, I was wrong as the dude had a lot in store, I never saw this coming, his song which leaked prio to HASARA ROHO could have been the hit song as well, pitiful the leaked song wasn't done to the fullest .........
Sasa kulikuwa na haja gani ya kuchomekea king'eng'e cha kikolomije?
 
Anakosea sana..ametoka kutoa nyimbo iliyosikilizwa sana mpaka ikawa kama wimbo wa taifa..then anakuja kutoa nyingine halafu ana rap vilevile tena na beat kama ile ile na chorus anapiga mwenyewe anakosea kutofanya featuring ambayo ingesaidia ku kupunguza kasi ya kuchokwa..kwa mfano test ya nyimbo zake...kwa mfano kwenye chorus angemyweka qchief na verse ya kwanza angemuweka jmo au hata mitego..ingeleta radha tofauti sana na angeonekana amekuja kivingine
yaniii..
alitakiwa wimbo huu abadilike.
na huyo TTouch hizo beats zinafanana sana.
kiasi hutofautishi too much/muziki na hii hasara roho sijui.
 
Roho mbaya tu inakusumbua na itakumalizaaaa na utimu wako uchwara huo
 
Darasa ametoa ngoma mpya ambayo kwa kweli imedhihirisha kuwa msanii huyu hana kipaji cha kutunga mashairi mazuri. Si hivyo tu ngoma hii imetoa picha kuwa msanii huyu siyo mbunifu kwani ngoma hiyo inaelekea kufanana na ngoma ya muziki

Hawa wasanii Wa kibongo bwana!!!!!
Mbwembwe nyingi kumbe alibahatisha tu
 
Mi nimeuelewa, nasemaje? Anae ona wimbo wa darasa mbaya aimbe yeye full stop!
 
nyimbo mbaya sana darasa atafute kazi nyingine ya kufanya muziki awaachie akina Diamond
 
Mtoa mada mpuuzi sana..usilazimishe watu wafanane au kila MTU aupende nyimbo ya darasa..lazima kutakuwa na mitazamo tofauti na isia tofauti..pimbi we!Kwa mtazamo wangu nauona wa kawaida.hakuna ubunifu...zaidi ya copy &paste weka music.
 
Back
Top Bottom