Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

Wimbo mpya wa darassa 'Hasara Roho'

  • Ni mzuri Sana

    Votes: 15 40.5%
  • Ni mzuri kiasi

    Votes: 5 13.5%
  • Wa kawaida tu

    Votes: 13 35.1%
  • Ni mbaya

    Votes: 4 10.8%

  • Total voters
    37
ukiona watu wanatumia nguvu nyingi kwa jambo la muziki ujue huo wimbo ni mbovu

mbona nyimbo ya MUZIKI Hamkutumia nguvu nyingi hivi?
 
Sijui ni ME ua KE wewe,Kama nakuona unavyolegeza sauti kabisa eti nyooo
 
Tatizo wabongo wengi wameshazoea Singles na sio Albums sasa wanategemea mtu atoe Singles zote kali na Zibambe! Hicho kitu hakiwezekani ndio maana hata wasanii wa nje ukinunua Album zao unakuta zina nyimbo hadi kumi na mbili lakini Nyimbo tatu tu ndio kali!
Kwa kweli watanzania sijui tukoje yaani ujinga kila mahala..
 
Inakuwaje CMG ametoa ngoma mbili ndani ya mieZi miwili?
 
habari yenu wadau.

nimekua nikiona thread humu zikiuponda huu wimbo mpya wa darassa "Hasara Roho" na wengine wakisema kuwa ile wimbo wake wa Muziki alibahatisha tu.

Mimi binafsi ninauona ni wimbo mzuri na wenye beat nzuri. ww unauonaje? piga kura yako hapo tumalize ubishi.

 
Mara moja huwezi kuelewa ngoma ni kali kwani yy amewambia anataka ufikie wimbo mwingne mbn Mond anatoa nyimbo 5 unahit mmoja
 
Ngoma kali style ileile.....korus siielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…