Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wew uka quoteWw ndo umelisema
we unaweza kubadili biashara inayokupa hela?!Povu la nini... Wimbo mbovu. Hawezi badili style.!??
ukijifanya una mapepo tunakemea...!!!!
nimegundua kuwa watanzania wengi ni wafata upepo, utaona mtu sasa hivi anasema ni wakawaida au mbaya ila baadae uki hit anaanza kuupenda na yeye.Uko poa mbona, watu wataielewa tu!
Copy en paste...
Keshaishiwa maubunifu...kumbe na yeye nyimbo yake ILIMBAMBA......maana ilimkaa kichwani kama NATIONAL ANTHEM....