Wimbo mpya wa Diamond wazimwa na Wema Sepetu

Dimond na genge lake wanatafutwa na Makonda.
 
Huu wimbo watu wameuchoka mapema kabisa hafu watu wanafatolia hii scandal ya sembe
 
We si mzima yani mwenzio ana matatizo alafu unasema kauzima wimbo wa diamond platnumz, mimi sijui kama anatumia au hatumii unga, lkn muda huu ni wakumuomea huruma na si hizi habari za kijinga unazozileta ktk jukwaa, hapa ujue wema itamsababisha akose wadhamini washughulia Zake mbalimbali. Alafu ukae ukiijua diamond platnumz ni brand kubwa Africa hategemei mashabiki wa tz peke yake kwa level aliyoifikia diamond platnumz hata achukue madebe ayagonge gonge alafu aimbe nyimbo yake itahit tu, kidogo mliuponda lkn huko kwenye TV za kimataifa unapigwa kila mara.
 
umemaliza au una lingine?

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Watu tuache I want to marry you olalaaaa laaaaa tumfuatilie muuza ngada!
 
Jana Mond kasimamisha biashara zote k/koo (CHINA TOWER)Zamani mobil plza.
Duh na kwenye huu wimbo wake kuna ka kinanda katam sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…