Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umemaliza au una lingine?We si mzima yani mwenzio ana matatizo alafu unasema kauzima wimbo wa diamond platnumz, mimi sijui kama anatumia au hatumii unga, lkn muda huu ni wakumuomea huruma na si hizi habari za kijinga unazozileta ktk jukwaa, hapa ujue wema itamsababisha akose wadhamini washughulia Zake mbalimbali. Alafu ukae ukiijua diamond platnumz ni brand kubwa Africa hategemei mashabiki wa tz peke yake kwa level aliyoifikia diamond platnumz hata achukue madebe ayagonge gonge alafu aimbe nyimbo yake itahit tu, kidogo mliuponda lkn huko kwenye TV za kimataifa unapigwa kila mara.
Marry me au marry you? Title ina maana gani?sasa hivi habari ya mujini ni marry me lala lala lala , nyie vibakuri kauzeni ndaga na wema
Hahhahaha binamu si kwa majibu hayasasa kama wema sio habare ya mujini mbona umekuja kwa uzi wke, nenda kafungue uzi wa marry me na wewe tuone
Nideke deke nidee kedeee....Btw Binamu tuna views laki 2+ ndani ya masaa 23.
Ahhahahahahahahahuna hela ya kununua i phone 7+? siolewi na mwakitu kubinga