Wimbo mpya wa Diamond wazimwa na Wema Sepetu

Wimbo mpya wa Diamond wazimwa na Wema Sepetu

Mjomba ee mi bado nipo asee
Naona umenisahau kiaina mkuu

Ndugu yetu supermarket aliondoka
Iceman [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Umepotea ndugu yangu sikuoni kabisa kila nikiingia Jf

Supermarket daaah sijui yuko wapi aisee
 
Iceman [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Umepotea ndugu yangu sikuoni kabisa kila nikiingia Jf

Supermarket daaah sijui yuko wapi aisee
Hahahaa
Mkuu toka uondoke pengo lako halija zibika

Nipo sana ila ili fika stage naona wote mmeondoka soo nikawa naingia mara chache chache
Supermarket sijui kilichompata ila inaonekana kuna watu ali waaga kabisa, mi sikupata bahati hiyo ya kuagwa mkuu
Karibu sanaaa bro
 
Hahahaa
Mkuu toka uondoke pengo lako halija zibika

Nipo sana ila ili fika stage naona wote mmeondoka soo nikawa naingia mara chache chache
Supermarket sijui kilichompata ila inaonekana kuna watu ali waaga kabisa, mi sikupata bahati hiyo ua kuagwa mkuu
Karibu sanaaa bro
Nishakaribia mkuu

Daaah ila ngoja nimchek pm mkuu supermarket nione kama ntampata

Niliwamiss sana ndugu zangu
 
Hivi diamond mara ya mwisho kutoa wimbo peke yake ilikuwa lini i na kwa nini anategemea mbeleko ?
 
Back
Top Bottom