Wimbo mpya wa kumtaka Mbowe apumzike

Wimbo mpya wa kumtaka Mbowe apumzike

Sasa anaimba ama anaongea?
Halafu aliingia studio amelewa...
Lakini binafsi naunga mkono hoja Mbowe apumzike.
 
Zile Studio za Wazalendo wa kweli na wapenzi wa Demokrasia Nchini waupige mwimbo huu ili angalao Sultani Nkurunziza ausikilize kwa ufasaha.
 
Namuona ameamua kukaa neutral sidhani kama ni busara kumlazimisha achukue sides lakini nina imani Lissu akishinda atamaliza kreti ya Ukanzi.

Nadhani wanaamri ya mwamba kukaa kimya.

Bila shaka wanegundua hili silo la watu 30 kama alivyo sema mwamba:

GfuY-ekXQAAK7pI.jpeg


Bila shaka washaona u CUFU uleeee unazidi kujongea!

Kumbuka timu nzima, wako mkao huu:

GgSj1L0WkAEMYn_.jpeg


Ukisikia hiiiiiiii iiiii..., ndiyo kama hivyo tena.
 
GfuY-ekXQAAK7pI.jpeg

Mbowe akishinda wananchi watatupuuza kama walivyompuuza Propesa Lipumba na CUF yake.
 
Anaondoka kwa nyimbo au kura kwenye Debe ? Mbona naona kama haya ni mashinikizo ? Hii ndio Demokrasia ? (Yaani kushinikiza mtu apishe nje / bila kuwapa nafasi wachaguaje haki yao ya kuchagua)?

 
Zile Studio za Wazalendo wa kweli na wapenzi wa Demokrasia Nchini waupige mwimbo huu ili angalao Sultani Nkurunziza ausikilize kwa ufasaha.
Wapenda demokrasia huimba nyimbo za kuelezea demokrasia ilivyo siyo kutunga nyimbo za pambio za kusifu Lisu au yeyote na kumponda yeyote

Single hiyo ya mlevi imebuma hiyo
 
Back
Top Bottom