Mbowe pumzika angalao ubakishe heshima yako.
Endelea kushabikia Arsenal...mbona Mimi Sijui mkuu
Namuona ameamua kukaa neutral sidhani kama ni busara kumlazimisha achukue sides lakini nina imani Lissu akishinda atamaliza kreti ya Ulanzi.Erythrocytes hivi mnamwambia hali ya uwanja huyu jamaa ilivyo, huko jikoni?
Mkuu sisi tuko bize na maandalizi ya Uchaguzi, hatuhusiki na Wagombea, tunawasubiri kwenye sandukuErythrocytes hivi mnamwambia hali ya uwanja huyu jamaa ilivyo, huko jikoni?
Mkuu sisi tuko bize na maandalizi ya Uchaguzi, hatuhusiki na Wagombea, tunawasubiri kwenye sanduku
Namuona ameamua kukaa neutral sidhani kama ni busara kumlazimisha achukue sides lakini nina imani Lissu akishinda atamaliza kreti ya Ukanzi.
View attachment 3198670
Mbowe akishinda wananchi watatupuuza kama walivyompuuza Propesa Lipumba na CUF yake.
Katumwa na maria space
View: https://youtu.be/wotqcW18b80?si=NFAt1ArFxLTbV80LWakuu,
Mbowe kachokwa na Wanachama na Watanzania kwa ujumla, sijui ni kwanini hasomi alama za nyakati?.
View: https://youtube.com/shorts/N_2vsS8I9r0?si=zsAT7UMXzF9JhWzB
Kumchochea lissuMaria Sarungi ni MwanaCCM huyu kijana msanii ni mwanaCHADEMA atamtumaje?
Mkuu kibao chenyewe ni hiki hapa bado cha moto kutoka studio.Sasa anaimba ama anaongea?
Halafu aliingia studio amelewa...
Lakini binafsi naunga mkono hoja Mbowe apumzike.
Mtatunga nyimbo zote Lisu hashindi
View: https://youtu.be/wotqcW18b80?si=NFAt1ArFxLTbV80LWakuu,
Mbowe kachokwa na Wanachama na Watanzania kwa ujumla, sijui ni kwanini hasomi alama za nyakati?.
View: https://youtube.com/shorts/N_2vsS8I9r0?si=zsAT7UMXzF9JhWzB
Wapenda demokrasia huimba nyimbo za kuelezea demokrasia ilivyo siyo kutunga nyimbo za pambio za kusifu Lisu au yeyote na kumponda yeyoteZile Studio za Wazalendo wa kweli na wapenzi wa Demokrasia Nchini waupige mwimbo huu ili angalao Sultani Nkurunziza ausikilize kwa ufasaha.