Luvanga1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,026
- 1,706
Ndio sanaa ilivyo.. ipe time mkuuILA MI FASIHI IMETUMIKA SANA NAHITAJI MUDA NIIELEWE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio sanaa ilivyo.. ipe time mkuuILA MI FASIHI IMETUMIKA SANA NAHITAJI MUDA NIIELEWE
JPM hawezi na hataweza kutafuta Kiki kwa Wasanii kwa kuwa anajua vijana wanataka waendelee kupita kupitia utendaji wake na wako mawakili wa kudandia kesi zisizo kichwa wala miguu huku wakiacha waliosingiziwa magereza wanatesek. Mkulu ataamuru wacha wimbo upigwe vijana waendelee kupata ridhiki na hawa mawakili watafuta Kiki waende wakawatete wafungwa walisingiziwa kubaka watoto wao kumbe ni njama ya mke,ndugu,wakwe kumchoka mume na kurithi mali.Mkuu magu atawateteaa km alivyomteteaa ney ...hapoo napoo atatafutiaa kiki km kwa ney maana ndioo zakee
Acha kupotosha umma weusi hawana wimbo wenye hiyo titleWeusi wametoa ngoma Kali sana inaitwa "kulevta".... Gnako kwenye chorus Nikki wa pili kachana....ni jungu la kisomi kwa bashite na mkuu....sidhani kama huu wimbo utachukua mda.