Wimbo mpya wa weusi utafungiwa?

Wimbo mpya wa weusi utafungiwa?

Nyimbo imeshonwa kwa fasihi hatari
Afu G nako naye kwenye chorus hakoseagi kabisa;-)
 
Mkuu magu atawateteaa km alivyomteteaa ney ...hapoo napoo atatafutiaa kiki km kwa ney maana ndioo zakee
JPM hawezi na hataweza kutafuta Kiki kwa Wasanii kwa kuwa anajua vijana wanataka waendelee kupita kupitia utendaji wake na wako mawakili wa kudandia kesi zisizo kichwa wala miguu huku wakiacha waliosingiziwa magereza wanatesek. Mkulu ataamuru wacha wimbo upigwe vijana waendelee kupata ridhiki na hawa mawakili watafuta Kiki waende wakawatete wafungwa walisingiziwa kubaka watoto wao kumbe ni njama ya mke,ndugu,wakwe kumchoka mume na kurithi mali.
 
chorus ipo vizuri ila verses wamechemka..mf. joh anaungaunga tu ili mradi maneno
 
kwanini usichukue muda
acheni fikra mgando
kwani kuna mtu katajwa jina lake la kwenye vyeti
FREEDOM OF SPEECH
 
Wametumia fasihi hatari kama mtu huwa anakula ugali Wa sembe hawez kuelewa mwenye kula ugali Wa dona ndio ataelewa nimependa kwakweli ndio kazi ya Sana'a kutumia tafsida. Halaf jamaa wanajielewa sana ..hakuna cha kiki wala bibi yake kiki wao ni kazi tu ingawa siwalaumu wale wanaotumia kiki kutoka..
 
Weusi wametoa ngoma Kali sana inaitwa "kulevta".... Gnako kwenye chorus Nikki wa pili kachana....ni jungu la kisomi kwa bashite na mkuu....sidhani kama huu wimbo utachukua mda.
Acha kupotosha umma weusi hawana wimbo wenye hiyo title
 
Back
Top Bottom