kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 905
- Thread starter
-
- #21
utakuta hawa hawa ndio wanamponda mavoko amepotea kwenda WCB leo wanamuona bora kuliko harmonize dah binadamu wabaya sana!!Angeimba Mavoko wangesema tena " Tangu Mavoko usainiwe WCB sijui unaimba nini, umavoko wako umeisha.
- Anyways kuhusu DISLIKES wala hata usijali maana unajua wimbo wa JUSTIN BIEBER uliomtambulisha ULIMWENGUNI wa BABY ndio wimbo wenye DISLIKES Nyingi Duniani
mbona nimeiweka hapo juu mkuu!Acha maeneno weka ngoma tusikie
rayvanny anajua sana ila yule anayemtengenezeaga biti sijui wanamuita laizer ndio atamfelisha jamaa, anamtengenezea biti kama za ya moto band bana!!wakubeba mikoba pale WCB Ni Rayvan huyu konde boy hapana kwa kweli
hapo kwenye the most subscribed artist muda si mrefu rayvanny atampita mmakonde, ukweli ni kwamba harmonize ameanza kabla ya rayvanny na ana ngoma nyingi kuliko rayvanny lakini wanakimbizana, kama unakumbuka wakati harmonize ametoa niambie na rayvanny akatoa mbeleko, mbeleko ilikuwa inaongoza kwenye mauzo wasafi.com. hata kuhusu views angalia nyimbo zao za mwisho na muda walioweka au angalia idadi ya likes na dislikes walizopata kila mmoja utagundua rayvanny kwa sasa yupo juu kuliko harmonize!!Ndugu yangu mimi ninachoangalia ni INFUENCE ya MSANII na MAUZO kwenye PLATFORM za MAUZO EAST AFRICA
- Ukimtoa Diamond, Harmonize ndo "the most subscribed artist kwenye mtandao wa YouTube" hata kwa VIEWS ana shika namba 2 baada ya Domo. Hata hapo www.wasafi.com Nyimbo zake zinauza balaa baada ya domo
- Kumbuka hata hatutumii ushabiki ni FACTS zilizopo mezani
Kuanza kwa maana ipi .......... Maana kama wewe ni mfuatiliaji basi utajua kuwa Rayvanny alianza zamani sana tokea Tip Top ya Madee. Tena "inawezekana" Rayvanny na Mond Rayvanny wa siku nyingi.hapo kwenye the most subscribed artist muda si mrefu rayvanny atampita mmakonde, ukweli ni kwamba harmonize ameanza kabla ya rayvanny na ana ngoma nyingi kuliko rayvanny lakini wanakimbizana, kama unakumbuka wakati harmonize ametoa niambie na rayvanny akatoa mbeleko, mbeleko ilikuwa inaongoza kwenye mauzo wasafi.com. hata kuhusu views angalia nyimbo zao za mwisho na muda walioweka au angalia idadi ya likes na dislikes walizopata kila mmoja utagundua rayvanny kwa sasa yupo juu kuliko harmonize!!
Huyo jamaa ndio aliyetengeneza wimbo unayoongoza kwa mauzo East Africa, na ndio iliyoongoza kwa kutazamwa na watu wengi sana kule Youtube,wimbo Salome.rayvanny anajua sana ila yule anayemtengenezeaga biti sijui wanamuita laizer ndio atamfelisha jamaa, anamtengenezea biti kama za ya moto band bana!!
Halafu wewe mkuu hujui kitu,wenzako wanalinganisha na kazi zake za mwanzo ndio unasema kitu kama hiki, je umefananisha na wimbo wake upi wa Young Killer ambao ulifanya vizuri zaidi ya huu ......... Wimbo wake upi ulipata views 100,000 ndani ya saa 18 ????Jana young killer msodoki alidondosha kichupa chake kipya ambacho humo ndani amemshirikisha msanii kutoka lebo ya WCB, cha ajabu video hiyo toka imewekwa jana usiku mpaka sasa inaongoza kuwa na dislike nyingi kuliko like.
Kitu ambacho kimeteka hisia za wengi juu ya ngoma hiyo ni upande wa comments, kwani comments nyingi ambazo watu wametupia katika mtandao huo wa YouTube zimekuwa zikimponda harmonize kuwa hakuitendea haki nyimbo hiyo, ameimba kiitikio vibaya haijawahi kutokea.
Wengine wameenda mbali zaidi na kusema kuwa harmonize amezidi kumuiga sana boss wake mpaka imekuwa kero kwani wanashindwa kutofautisha sauti za watu hao wawili. wengine wamediriki kutupia comments kuwa wameweka dislike kwa hiyo nyimbo kwa sababu ya harmonize.
Kuna baadhi ya comments zimedai kuwa, kiitikio hiko angeimba rich mavoko basi angekitendea haki ipasavyo kuliko harmonize. mpaka sasa katika video hiyo ina dislikes zaidi ya 3,000 na likes 2,000 huku ikiwa ina views zaidi ya 100,000 ndani ya masaa 18.
Me naona kwa pale wasafidotcom harmonize ndo anaongoza kwa mauzoNdugu yangu mimi ninachoangalia ni INFUENCE ya MSANII na MAUZO kwenye PLATFORM za MAUZO EAST AFRICA
- Ukimtoa Diamond, Harmonize ndo "the most subscribed artist kwenye mtandao wa YouTube" hata kwa VIEWS ana shika namba 2 baada ya Domo. Hata hapo www.wasafi.com Nyimbo zake zinauza balaa baada ya domo
- Kumbuka hata hatutumii ushabiki ni FACTS zilizopo mezani
Halafu hii saga ya [emoji107] nyingi naona ikitrend sana huko tube. Watu wana visa wanakaa attention wakiona wimbo umetoka wanaweka dislike