Wimbo mpya wa Young Killer, jumba bovu anaangushiwa Harmonize

Wimbo mpya wa Young Killer, jumba bovu anaangushiwa Harmonize

Angeimba Mavoko wangesema tena " Tangu Mavoko usainiwe WCB sijui unaimba nini, umavoko wako umeisha.

- Anyways kuhusu DISLIKES wala hata usijali maana unajua wimbo wa JUSTIN BIEBER uliomtambulisha ULIMWENGUNI wa BABY ndio wimbo wenye DISLIKES Nyingi Duniani
utakuta hawa hawa ndio wanamponda mavoko amepotea kwenda WCB leo wanamuona bora kuliko harmonize dah binadamu wabaya sana!!
 
unatumia neon "Nyimbo" zikiwa nyingi na "wimbo" ukiwa ni mmoja. Huwezi kuwa na "nyimbo mpya ya..." maneno sahihi ni "wimbo mpya wa..."
 
Ndugu yangu mimi ninachoangalia ni INFUENCE ya MSANII na MAUZO kwenye PLATFORM za MAUZO EAST AFRICA

- Ukimtoa Diamond, Harmonize ndo "the most subscribed artist kwenye mtandao wa YouTube" hata kwa VIEWS ana shika namba 2 baada ya Domo. Hata hapo www.wasafi.com Nyimbo zake zinauza balaa baada ya domo

- Kumbuka hata hatutumii ushabiki ni FACTS zilizopo mezani
hapo kwenye the most subscribed artist muda si mrefu rayvanny atampita mmakonde, ukweli ni kwamba harmonize ameanza kabla ya rayvanny na ana ngoma nyingi kuliko rayvanny lakini wanakimbizana, kama unakumbuka wakati harmonize ametoa niambie na rayvanny akatoa mbeleko, mbeleko ilikuwa inaongoza kwenye mauzo wasafi.com. hata kuhusu views angalia nyimbo zao za mwisho na muda walioweka au angalia idadi ya likes na dislikes walizopata kila mmoja utagundua rayvanny kwa sasa yupo juu kuliko harmonize!!
 
Kuanza kwa maana ipi .......... Maana kama wewe ni mfuatiliaji basi utajua kuwa Rayvanny alianza zamani sana tokea Tip Top ya Madee. Tena "inawezekana" Rayvanny na Mond Rayvanny wa siku nyingi.
 
Haters gonna hate, wimbo uko poa, video classy
 
rayvanny anajua sana ila yule anayemtengenezeaga biti sijui wanamuita laizer ndio atamfelisha jamaa, anamtengenezea biti kama za ya moto band bana!!
Huyo jamaa ndio aliyetengeneza wimbo unayoongoza kwa mauzo East Africa, na ndio iliyoongoza kwa kutazamwa na watu wengi sana kule Youtube,wimbo Salome.
 
Jana young killer msodoki alidondosha kichupa chake kipya ambacho humo ndani amemshirikisha msanii kutoka lebo ya WCB, cha ajabu video hiyo toka imewekwa jana usiku mpaka sasa inaongoza kuwa na dislike nyingi kuliko like.

Kitu ambacho kimeteka hisia za wengi juu ya ngoma hiyo ni upande wa comments, kwani comments nyingi ambazo watu wametupia katika mtandao huo wa YouTube zimekuwa zikimponda harmonize kuwa hakuitendea haki nyimbo hiyo, ameimba kiitikio vibaya haijawahi kutokea.

Wengine wameenda mbali zaidi na kusema kuwa harmonize amezidi kumuiga sana boss wake mpaka imekuwa kero kwani wanashindwa kutofautisha sauti za watu hao wawili. wengine wamediriki kutupia comments kuwa wameweka dislike kwa hiyo nyimbo kwa sababu ya harmonize.

Kuna baadhi ya comments zimedai kuwa, kiitikio hiko angeimba rich mavoko basi angekitendea haki ipasavyo kuliko harmonize. mpaka sasa katika video hiyo ina dislikes zaidi ya 3,000 na likes 2,000 huku ikiwa ina views zaidi ya 100,000 ndani ya masaa 18.

Halafu wewe mkuu hujui kitu,wenzako wanalinganisha na kazi zake za mwanzo ndio unasema kitu kama hiki, je umefananisha na wimbo wake upi wa Young Killer ambao ulifanya vizuri zaidi ya huu ......... Wimbo wake upi ulipata views 100,000 ndani ya saa 18 ????
 
Ndugu yangu mimi ninachoangalia ni INFUENCE ya MSANII na MAUZO kwenye PLATFORM za MAUZO EAST AFRICA

- Ukimtoa Diamond, Harmonize ndo "the most subscribed artist kwenye mtandao wa YouTube" hata kwa VIEWS ana shika namba 2 baada ya Domo. Hata hapo www.wasafi.com Nyimbo zake zinauza balaa baada ya domo

- Kumbuka hata hatutumii ushabiki ni FACTS zilizopo mezani
Me naona kwa pale wasafidotcom harmonize ndo anaongoza kwa mauzo
 
Halafu hii saga ya [emoji107] nyingi naona ikitrend sana huko tube. Watu wana visa wanakaa attention wakiona wimbo umetoka wanaweka dislike
 
Pambaneni na Khali zenu..... Mwenzenu kutengeneza mpaka watu mnamzumgumzia..
 
Naona vijana wangu wameona ngumu nyeusi hazilipi wamekimbilia kwenye biashara rasmi,Msodoki anaonyesha atakaa kwenye ramani kwa muda mrefu sana akikaza hii ngoma iko poa kila kitu na kuhusu Harmonize nadhani watu wamzoee kua ni nusu ya diamond.
 
Halafu hii saga ya [emoji107] nyingi naona ikitrend sana huko tube. Watu wana visa wanakaa attention wakiona wimbo umetoka wanaweka dislike

Kuna vita ya kibwege mashabiki wanaiendesha wapo ambao bila hata kuiangalia video anashusha kitu cha [emoji1532]
 
Hamjagundua tu huu uzi umeanzishwa ili kutafuta viewers wa hiyo ngoma mpya...

Hongera mleta uzi
 
"....na kusema kuwa harmonize amezidi kumuiga sana boss wake mpaka imekuwa kero kwani wanashindwa kutofautisha sauti za watu hao wawili"

HII ISHU INAMUUMIZA KICHWA HADI LEO RAJJ
 
Back
Top Bottom