Wimbo mwanaume mashine unatuzalilisha vibamia

Wimbo mwanaume mashine unatuzalilisha vibamia

Timu vibamia mmekuja juu mitandaoni!! anyway its non of my business
 
Kwa masikitiko makubwa naomba wizara husika iliangalie hili kwa kuwa unatubagua. Hivi nini maana ya mashine? Inamaana ukiwa na kibamia siyo mwanaume. Juzi siku ya idd mosi nilitoka na demu wangu vizuri na anajua mi ninakibamia sasa wimbo huo ulipopigwa akainuka kucheza huku ananiimbia eti mwanaume mashine.
Niliamua kuondoka bila hata kumuaga aliniudhi sana.

Sasa wale wenye vibamie tuungane kupinga wimbo huu unatudhalilisha sana.

Mkuu nguvu ya mashine ni horse power, sio ukubwa wa engine!
Huyo ana lake jambo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
skujua huu wimbo maana yake

BASATA waufungie kabsa huu ni udharilishaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23]jikubali mkuu
 
Back
Top Bottom