Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya mkuuAkuuu
Majaribio hayafanyikagi hadharani bhana, wapinzani (mihogo) wataiba mbinu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa nn iwe sirii, mbn wskati unayasema hayo hujafanya siri ila kwenye hili unataka jaribio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hawata ziweza hizo mbinuMajaribio hayafanyikagi hadharani bhana, wapinzani (mihogo) wataiba mbinu.
Aisee, usinifanyie ivyo bhana, utampaje adui yako mbinu akuache hivihivi. [emoji24] [emoji24][emoji23] [emoji23] [emoji23] hawata ziweza hizo mbinu
Hawaziwezi na mahogo yao!!! Hivi ulimaji wa jembe la mkono na trekta vinafanana!??Aisee, usinifanyie ivyo bhana, utampaje adui yako mbinu akuache hivihivi. [emoji24] [emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawaziwezi na mahogo yao!!! Hivi ulimaji wa jembe la mkono na trekta vinafanana!??
Kwa masikitiko makubwa naomba wizara husika iliangalie hili kwa kuwa unatubagua. Hivi nini maana ya mashine? Inamaana ukiwa na kibamia siyo mwanaume. Juzi siku ya idd mosi nilitoka na demu wangu vizuri na anajua mi ninakibamia sasa wimbo huo ulipopigwa akainuka kucheza huku ananiimbia eti mwanaume mashine.
Niliamua kuondoka bila hata kumuaga aliniudhi sana.
Sasa wale wenye vibamie tuungane kupinga wimbo huu unatudhalilisha sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] usichimbue sana ishia hpo hapoo, ukisogea mnoo utaharibu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana kwakwel, japo sijajui hapo jembe lipi linalima vizuri.