Jamaa kaachia wimbo kimya kimya kwa kweli aina hii ya release za Diamond zinakuwaga kali tofauti akifanya promo kubwa.Nimependa sana lyrics yake, melody, Vocal na S2kizzy katengeneza beat nzuri sana ni wimbo ambao huwezi kuuchoka kama baadhi ya nyimbo za mondi.

Wewe ni mpenzi wa mziki wa harmonize?Kaiga beat ya Harmonize, Am single.
Diamond kwa kuiga siku hizi, kamaliza za Wanigeria sasa anageukia za Wabongo wenzie!
Mm team Mondi ila hapo hamna kituHamna wimbo humo