Wimbo Overdose ya Diamond kali sana nimeikubali

Wimbo Overdose ya Diamond kali sana nimeikubali

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Jamaa kaachia wimbo kimya kimya kwa kweli aina hii ya release za Diamond zinakuwaga kali tofauti akifanya promo kubwa.Nimependa sana lyrics yake, melody, Vocal na S2kizzy katengeneza beat nzuri sana ni wimbo ambao huwezi kuuchoka kama baadhi ya nyimbo za mondi.
 
Kaiga beat ya Harmonize, Am single.
Diamond kwa kuiga siku hizi, kamaliza za Wanigeria sasa anageukia za Wabongo wenzie!
Wewe ni mpenzi wa mziki wa harmonize?
 
Asa Zuchu bado anafanya nini humoo!!

Aondoke chap.
 
Back
Top Bottom