Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Inawezekana kuna aliozaa na kina da mwaju hawajulikaniAisee.......na ukute wengine hatuwajui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kuna aliozaa na kina da mwaju hawajulikaniAisee.......na ukute wengine hatuwajui.
Sasa hivi akitulize tu......Inawezekana kuna aliozaa na kina da mwaju hawajulikani
Sorry to say this but BASATA have some loads of stupidity if not negligence on them
Hiki kitengo ndio kilitakiwa kiratibu kazi zote za wasanii kabla hazijazalishwa! Uwezo huo upo sasa inakuwaje wanasuburi kazi itoke isambae kwenye jamii ilete madhara ndio wao waje na blah blah za kuifungia? Huku si kutengeneza mazingira ya rushwa?
Sorry again to say this but I can sniff some stupidity on them
Hapana kaka....Wasanii na wadau wao wasimamiane wenyewe....sio wagonjwa wa aikili hao.Hata mimi nimefkiria hivyo mkuu kwann nyimbo ya msanii yoyote hapa bongo isipite kwanza kwao waipitie kisha ndo iruhusiwe kwenye ma blog n vituo vngne vya burudan....Yaan unafungia kwenye Redio wakati watu kwenye simu zao ipo
...ahsanta!..utakijua tu kidhungu!sjaona maana ya kuufungia huo wimbo while is already spreaded
Kaka mkubwa, huyu kuna ile BIASHARA isio rafiki kwa jamii, anafanya. Huku ktk music kaja kujificha tu kama chaka lake!Huyu jamaa ana kera sana na amepitiliza sana muziki umemshinda kabisa!
Nimejaribu kuusikiliza huu wimbo kwa mara kadhaa bado sipati sababu kamili ni kwa nini mnamshukia Nay kiasi hiki.Pale Kati Patamu,patamu tamu!
Ata Jf ni Tamu,ila Pale Kati Utamu Wake ni Adimu!
Sikiliza huku unalia.Kwa wenye wimbo tayari wafanyeje?
Nina uhakika wengi wamemhukumu pasipo hata kuona wala kusikiliza mashairi ya wimbo husika.Nimejaribu kuusikiliza huu wimbo kwa mara kadhaa bado sipati sababu kamili ni kwa nini mnamshukia Nay kiasi hiki.
Kwa wimbo ule wa 'shika adabu yako' naunga mkono hoja kwani kuna maneno alitamka moja kwa moja..lakini kwenye wimbo huu sioni mahali ametumia tusi la moja kwa moja.
Labda kama anaadhibiwa kwa zile picha alizoziambatisha....hapo naunga mkono.
Hivi tukiwaweka mezani Nay 'pale kati patamu' na Ya moto 'una rambo mimi nina muwa' na wote wakajitetea kuwa hawana maana hiyooo...ni kwamba tutamuhukumu Nay na kuwaacha Ya moto?.
Au wimbo wenye maneno 'napenda unavyokata na kunipa taratibu' una tofauti gani na Nay anaposema 'navutiwa na wote zikinipanda mimi nabeba yoyote'..
Siungi mkono ukiukwaji wa maadili lakini napata picha kama vile afanye mwingine lakini sio Nay.