brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Ime kutach kama dukeSasa wee man'gaa kulikua kuna haja gani ya kumtaja Kiba.
Ifike pahala muwe na akili na hivyo vitimu ushuzi vyenu.
Nonsense kwani mwana na aje hazijawahi kushika hiyo no 1 au unafuatilia upande mmoja tuWimbo wa salome ulioimbwa kwa kukutanisha mafundi wawili kutokea lebo ya WCB Diamond Platnumz AKA Simba Jini na Rayvanny umekimbiza ile mbaya huku nchini Kenya kwa kushika namba moja kati ya nyimbo 100 bora zinazoongoza kwa kununuliwa huko Kenya
Daaaah kubaaabeki WCB sio watu wa mchezo mchezo bhana aisee kila wimbo wanaoutoa ni hit song tofauti na kibakuli nyimbo zake nyingi zinamdodea
View attachment 412892
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ali kiba katokea wap hapa..umeleta habar ya diamond ...alikiba katokea wapi hapa...huu ushabiki unakupa faida gan mkuu...wao wanapata mipesa kila siku wewe wapata nini haswa zaid unapomkashifu kiba kwa kummuita kibakuli, yule ana jina ndugu..
Poor kenyans
Sasa wee man'gaa kulikua kuna haja gani ya kumtaja Kiba.
Ifike pahala muwe na akili na hivyo vitimu ushuzi vyenu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], aya bhanaTatizo lake anajua kazi ya kichwa ni kunyoa viduku tu.
Mweeeee[emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ali kiba katokea wap hapa..umeleta habar ya diamond ...alikiba katokea wapi hapa...huu ushabiki unakupa faida gan mkuu...wao wanapata mipesa kila siku wewe wapata nini haswa zaid unapomkashifu kiba kwa kummuita kibakuli, yule ana jina ndugu..