brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Wimbo wa salome ulioimbwa kwa kukutanisha mafundi wawili kutokea lebo ya WCB Diamond Platnumz AKA Simba Jini na Rayvanny umekimbiza ile mbaya huku nchini Kenya kwa kushika namba moja kati ya nyimbo 100 bora zinazoongoza kwa kununuliwa huko Kenya
Daaaah kubaaabeki WCB sio watu wa mchezo mchezo bhana aisee kila wimbo wanaoutoa ni hit song tofauti na kibakuli nyimbo zake nyingi zinamdodea
Daaaah kubaaabeki WCB sio watu wa mchezo mchezo bhana aisee kila wimbo wanaoutoa ni hit song tofauti na kibakuli nyimbo zake nyingi zinamdodea