Wimbo Salome waongoza kwa kununuliwa huko Kenya

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Wimbo wa salome ulioimbwa kwa kukutanisha mafundi wawili kutokea lebo ya WCB Diamond Platnumz AKA Simba Jini na Rayvanny umekimbiza ile mbaya huku nchini Kenya kwa kushika namba moja kati ya nyimbo 100 bora zinazoongoza kwa kununuliwa huko Kenya

Daaaah kubaaabeki WCB sio watu wa mchezo mchezo bhana aisee kila wimbo wanaoutoa ni hit song tofauti na kibakuli nyimbo zake nyingi zinamdodea

1475703833378.jpg
 
Anauzaje hiyo single huko Kenya? Na hapa Dar inauzwa wapi?
 
Wimbo wa salome ulioimbwa kwa kukutanisha mafundi wawili kutokea lebo ya WCB Diamond Platnumz AKA Simba Jini na Rayvanny umekimbiza ile mbaya huku nchini Kenya kwa kushika namba moja kati ya nyimbo 100 bora zinazoongoza kwa kununuliwa huko Kenya

Daaaah kubaaabeki WCB sio watu wa mchezo mchezo bhana aisee kila wimbo wanaoutoa ni hit song tofauti na kibakuli nyimbo zake nyingi zinamdodea

View attachment 412892
Nonsense kwani mwana na aje hazijawahi kushika hiyo no 1 au unafuatilia upande mmoja tu
 
Ali kiba katokea wap hapa..umeleta habar ya diamond ...alikiba katokea wapi hapa...huu ushabiki unakupa faida gan mkuu...wao wanapata mipesa kila siku wewe wapata nini haswa zaid unapomkashifu kiba kwa kummuita kibakuli, yule ana jina ndugu..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanamuziki na watangazaji wengi wanachanganya sana kwenye kutambulisha wimbo au kuuelezea wimbo fulani, wengi wanasema Nyimbo yangu au hii nyimbo,Nimemsikia sana diamond naye akikosea,hata kwenye post amekosea tena,mfahamishe kwamba Nyimbo ni wingi (songs) na wimbo ni umoja....Angesema "Wimbo wetu pendwa" na sio Nyimbo yetu pendwa ya Salome.
 
Ali kiba katokea wap hapa..umeleta habar ya diamond ...alikiba katokea wapi hapa...huu ushabiki unakupa faida gan mkuu...wao wanapata mipesa kila siku wewe wapata nini haswa zaid unapomkashifu kiba kwa kummuita kibakuli, yule ana jina ndugu..
Mweeeee[emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom